Share

12 kati ya 112 kupandishwa kortini akiwemo Wema, TID na wengine

Share This:

Sakata la Madawa ya kulevya limeendelea kigonga vichwa vya habari wiki hii ambapo Jumatatu hii Jeshi la polisi limedai toka lianze operesheni hiyo tayari limewakata watuhumiwa 112 na kati ya hao 12 watapandishwa mahakani Jumatatu hii kwa kwajili ya kusoma kiapo cha kutorudia matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kukiri kutumia.

Leave a Comment