Share

18 MAY, 17 MEZA HURU

Share This:

9:00 ALASIRI Fuatilia kipindi cha MEZA HURU kinachoangazia masuala motomoto yanayogusa jamii. Mada ya leo ni “ Safari Kombe la Dunia”. Unakaribishwa kupiga simu namba 0767 444701 na uweze kuoa maoni yako na pia shiriki kwa kutoa dukuduku lako ukitumia mitandao ya kijamii.

Leave a Comment