Share

5 JULY, 17 MEZA HURU

Share This:

9:00 ALASIRI Fuatilia kipindi cha MEZA HURU kinachoangazia masuala motomoto yanayogusa jamii.Mada ya leo ni“ Ngumi za ridhaa”. Unakaribishwa kupiga simu namba 0767 444701 na uweze kutoa maoni yako na pia shiriki kwa kutoa dukuduku lako ukitumia mitandao ya kijamii.

Leave a Comment