Share

Abdul Nondo alijiteka mwenyewe alienda kwa mpenzi wake

Share This:

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa amesema kuwa mwanafunzi wa chuo cha UDSM aliyedaiwa kutekwa hakutekwa alijiteka mwenyewe na kwenda kwa mpenzi wake Iringa.

Leave a Comment