Share

ABIRIA 500 WAKWAMA KWA ZAIDI YA SAA 18 TANGA, MAJI YAFUNGA BARABARANI

Share This:

Watu wasiopungua 1000 wamekwama kuendelea na safari kuelekea korogwe na mikoa ya Arusha na kilimanjaro baada ya barabara kufulikwa na maji yanayokatisha juu kwa kasi na kusababisha kukatika kwa mawasiliano baina ya sehemu mbili ya kijiji cha Mandela B ambapo mpaka reporter wa AyoTV anafika eneo hilo saa saba usiku alikuta watu waliofika tangu saa kumi na mbili jion ya tarehe 12/10/2019 wamekwama hapo kwa zaidi ya masaa 15 huku usalama wao na huduma za kijamii ikiwa ni changamoto.

AyoTV itaendelea kukupa updates ya kila kinachoendelea sehemu hiyo.

Leave a Comment