Share

Afisa ardhi kaamua kudai kodi kwenye “SEND OFF”

Share This:

Afisa Ardhi wa Jiji la Mwanza Halima Nassoro ameamua kutumia muda wake akiwa kwenye SEND OFF ya mmoja ya mfanyakazi mwenzake kusisitiza wageni waliohudhuria kwenye hiyo sherehe walipie kodi ya ardhi.

Leave a Comment