Share

Afisa utawala wa kiwanda cha nguo cha URAFIKI atolea ufafanuzi mgomo wa wafanyakazi wake.

Share This:

Afisa utawala wa kiwanda cha nguo cha URAFIKI kilichopo ubungo jijini Dar es Salaam Bwana.Moses Swai ametolea ufafanuzi mgomo wa wafanyakazi wa kiwanda hicho ulioanza toka asubuhi kwa madai ya kushindwa kutekelezwa kwa agizo la mahakama ya kazi kwamba menejimenti ya kiwanda hicho na TUICO wakae kupitia majina ya zaidi ya watu elfu moja waliokuwa wanadai madai yao mbali mbali ikiwemo nyongeza za mishahara.

Leave a Comment