Share

African Reconnect ya Afrika Kusini yatoa elimu kwa wanawake

Share This:

Shirika lisilokuwa la kiserikali la Afrika Kusini, African Reconnect wamefanya mkutano wao na waandishi wa habari Jumatano hii kwenye ukumbi wa APC uliopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mafunzo kwa ajili ya elimu ya ujasiriamali ambao wamekuwa wakiutoa kwa vikundi mbalimbali vya wanawake kuanzia Mei 14.

Leave a Comment