Share

Afrika tuna cha kujifunza na kisa hiki?

Share This:

Wiki kadhaa baada ya mbunge mmoja nchini Kenya kuondolewa bungeni kwa kuingia na mwanawe mchanga, hali kama hiyo imetokea New Zealand, ila mbunge hakufukuzwa kutoka kwenye jumba hilo la sheria.

Leave a Comment