Share

Afueni kwa wakulima wa kike wasio na haki ya kumiliki ardhi India

Share This:

Vipindi virefu vya ukame vinauathiri udongo na watu. Nchini India wakulima wanawake wanaathirika zaidi kwasababu hawana haki za kumiliki ardhi na hawawezi kupata raslimali kama pesa, masoko na maji. Shirika moja lisilo la kiserikali, linajaribu kuyabadilisha yote hayo kwa ajili ya manufaa ya wakulima wanawake.

Leave a Comment