Share

Afunguka “Kunitaja tu! mapokezi ya Dreamliner kinyaa, Mungu alishusha mvua” Mzee wa Upako

Share This:

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako ambapo amezungumzia mvua iliyonyeesha siku ya kupokelewa kwa Ndege mpya ya Air Tanzania.

Leave a Comment