Share

Agizo alilotoa Rais Magufuli kwa Viongozi wote wa Dini nchini

Share This:

Rais Magufuli amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Jijini DSM, unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco ambapo amewaahidi Viongozi wa dini zote kwamba serikali yangu itaendelea kushirikiana na dini zote

Leave a Comment