Share

Agnes Masogange alitakiwa aanze kujitetea leo Mahakamani

Share This:

Agnes Gerald maarufu kama ‘Masogange’ amerudi tena kwenye headlines za Mahakamani tena leo October 12, 2017 ambapo hata hivyo, kesi yake ya kutumia dawa za kulevya imesogezwa mbele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi November 14, 2017.

Leave a Comment