Share

Ahadi ya TANESCO kuhusu kukatika kwa umeme mara kwa mara

Share This:

Wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) wamewahakikishia wakazi wa mikoa ya Lindi na Mtwara tatizo la kukatika kwa umeme litabaki kuwa historia kutokana kupata ufadhili wa serikali ya Japan kupitia shirika la JICA ambalo litajenga mtambo ya kufua umeme megawatt mia tatu na kuingizwa katika gridi ya taifa hali ambayo itaondoa kabisa tatizo hilo.

Leave a Comment