Share

AIR TANZANIA KUANZA SAFARI AFRIKA KUSINI WIKI HII

Share This:

Shirika la Ndege ATCL, Linatarajia kuanza safari zake kutoka Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam kuelekea Nchini Afrika Kusini, Pia Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, ENG, Isack Kamwelwe ameongea na waandishi wa Habari kuwa Serikali ilipanga Mpaka mwaka 2022 itanunua ndege nane lakini zote zita kamilika mwaka huu 2019

Leave a Comment