Share

Aishi Manula ajipanga kuvuna pesa kwenye mitandao ya kijamii

Share This:

Mlindalango namba moja wa klabu ya Simba, Aishi Salum Manula amesema kuanzia sasa atakuwa makini na mitandao yake ya kijamii ili kuhakikisha inakuwa sehemu ya chanzo kingine cha mapato

Leave a Comment