Share

Ajali Ya Gari Yaua Mtu Mmoja Ruvuma

Share This:

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Sultani Yusuph mkazi wa mkoani Pwani amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Gumbiro wilayani Songea.

Leave a Comment