Share

Ajali ya ndege yaua Rubani na Abiria wake Serengeti/Meneja Mawasiliano TANAPA anena.

Share This:

Ndege ya Kampuni ya Auric Air imeanguka katika uwanja mdogo wa ndege Seronera, Serengeti, Rubani na abiri mmoja wamepoteza maisha.
________
“Kinachoendelea sasa kwanza ni kuondoa ndege katika eneo ambalo imepata ajali, lakini vilevile kuhifadhi miili ya marehemu, lakini mamlaka ya usalama ya anga kwa kushirikiana na kampuni husika ya ndege na kuona namna gani wanafanya uchunguzi na kubaini chanzo cha ajali hiyo”-Pascal Shelutete – Meneja Mawasiliano TANAPA.

Leave a Comment