Share

AJIRA MPYA: JAFO “WATU 477 WATAKIWA KURIPOTI KAZINI OLE WAO”

Share This:

Waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo amewataka watumishi wote walioajiriwa na serikali wafike katika vituo vyao vya kazi ndani ya siku 14 na asifike ndani ya muda huo nafasi yake itachukuliwa na mtu mwengine.

Leave a Comment