Share

Al-Sissi ataka suluhisho wakimbizi Afrika

Share This:

Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika, Rais Abdel-Fattah al-Sissi wa Misri, ametoa wito wa kuzipatia suluhisho bora na la kudumu changamoto za wakimbizi na wahamiaji zinazolikabili bara hilo. Je, nini kinasababisha wakimbizi barani Afrika? Kurunzi 12.02.2019

Leave a Comment