Share

albinism video na marekebisho yake mp4 2

Share This:

Bado kuna hofu ya usalama wa watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania licha ya serikali kufanya jitihada kukomesha uovu dhidi yao. Masuala ya utalii yanafanyika kwa uangalifu mkubwa lakini ni vigumu kuamini kuwa usalama wao unazingatiwa. Je ni hatua gani zinazoweza kuchukuliwa kuhakikisha walemavu wa ngozi wanafurahia Utalii? Kurunzi 21. 10.2019. Mtayarishaji Yakoub Taleeb.

Leave a Comment