Share

Alhamisi hii katika kipindi cha USAFIRI WAKO.

Share This:

1:00 USIKU Mtangazaji wako Benjamin Mzinga leo atakuwa na Mhandisi Michael Kyando kutoka taasisi ya usafirishaji NIT akielezea kiundani ignition coil ni nini na kazi yake ni nini katika chombo cha moto. Huu ni USAFIRI WAKO.

Leave a Comment