Share

Alichoamua Hakimu, baada ya Wema Sepetu kufika Kisutu akitoka India

Share This:

Msanii Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya amefika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ikiwa ni wiki chache baada ya kuelezwa amekwenda nchini India kufanyiwa upasuaji.

Leave a Comment