Share

Alichokiagiza waziri Mwakyembe baada ya kutangazwa matokeo ya Urais na makamu TFF

Share This:

Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania TFF Revocatus Kuuli amemtangaza Wallace Karia kuwa Rais mpya wa TFF na amemtangaza Michael Richard Wambura kuwa makamu wa Rais wa TFF. Baada ya hapo waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwankyembe alipewa nafasi ya kuzungumza na wajumbe na washindi kwa mara nyingine tena na kuagiza kuanzia January 2018 TFF inatakiwa iwe inaweka wazi mapato na matumizi kila mwezi.

Leave a Comment