Share

Alichokisema Alicios kuhusu Diamond na Alikiba

Share This:

Msanii kutoka nchini Congo DRC ambaye anafanya kazi zake za muziki nchini Kenya, Alicios ameongea kuhusu wasanii mahasimu wa Bongo Flava, Diamond na Alikiba. Pia ameeleza alichoambiwa na wasanii hao wakati walipokutana.

Leave a Comment