Share

Alichokisema Balozi wa Marekani kuhusu filamu ya wanaoishi na UKIMWI

Share This:

Leo November 9, 2018 tunayo story kutokea kwa Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk,Inmi Patterson ambapo amezindua filamu inayowatetea watu wanaoishi na Ukimwi Tanzania, ambapo waigizaji wengi ni wale ambao hawajapitia mafunzo rasmi.

Filamu hiyo imeaonyeshwa kwa mara ya kwanza jijini London wiki chache zilizopita ambapo Matamasha makubwa ya filamu yameitambua filamu hiyo.

Dk.Patterson amesema kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 15 ya Mfuko wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi, Ubalozi wa Marekani unasharikiana na Baraza la taifa la Ukimwi unashirikiana kuionesha filamu hiyo katika mikoa inayoongoza kwa Ukimwi.

Leave a Comment