Share

Alichokisema Dada wa MZEE MAJUTO “Nisitumie umaarufu wangu vibaya”

Share This:

Leo August 9,2018 tunayo story kutokea kwa Rehema Majuto ambaye ni Dada wa marehemu Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ambapo amesema alikuwa na marehemu hadi hatua ya mwisho, ambapo pia aliwahi kumuachia wosia kwamba asitumie umaarufu wake vibaya kama watu wengine.

Leave a Comment