Share

Alichozungumza Bell 9 kuhusu Project yake na G Nako, imeishia wapi?

Share This:

Msanii Belle 9 ameelezea kuhusu project yake na G Nako juu ya ngoma nyingi ambazo wanatakiwa kufanya kwaajili ya kuburudisha watu kwenye sherehe za harusi mbalimbali .

Leave a Comment