Share

Alicia Magabe: Gharama za kuwa mke wa mwanasiasa wa upinzani

Share This:

Mara nyingi maafa ya wanasaisa huangaliwa kuyagharimu maisha yake ya kisiasa pekee na watu waliomzunguka kwenye siasa hizo, lakini ukweli ni kuwa hasara kubwa huwa kwa familia yake – mke, ndugu na jamaa na watoto kama anavyosimulia hapa Alicia Magabe, mke wa mwanasiasa mashuhuri wa Tanzania, Tundu Lissu.

Leave a Comment