Share

Alikiba alivyoshuhudia mechi ya Arsenal dhidi ya Sunderland katika uwanja wa Emirates

Share This:

Jumanne ya wiki hii Alikiba alikuwa ni miongoni mwa wageni wapya waliohudhuria kushuhudia mechi ya ligi kuu ya Uingereza kati ya Arsenal dhidi ya Sunderland katika uwanja wa Emirates uliopo jijini London, Uingereza.

Leave a Comment