Share

ALL GOALS: Goli la Okwi lililomfanya aifikie rekodi ya Bocco na Tambwe vs Prisons

Share This:

Club ya wekundu wa Msimbazi Simba leo April 16 2018 ilikuwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezo wake wa 24 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya, Simba wakiwa katika uwanja wa Taifa ambao ndio wanautumia kama uwanja wao wa nyumbani walifanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0, magoli ya Simba yakifungwa na nahodha wao John Bocco dakika ya 35 na Emmanuel Okwi dakika ya 80 kwa mkwaju wa penati baada ya Bocco kuchezewa faulo.

Leave a Comment