Share

Ally Mayay ajinadi kwenye utawala bora kampeni za TFF

Share This:

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na klabu ya Dar es salaam Young Africans, Ally Mayai ‘Tembele’ amezindua rasmi kampeni za kuwania nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Ramada Posta jijini Dar es Salaam, huku akitaja vipaumbele kadhaa.

Leave a Comment