Share

Ally Mayay baada ya kushindwa Urais wa TFF

Share This:

Baada ya mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la soka Tanzania TFF Revocatus Kuuli kutangaza matokeo na wengi kusikika wakipongeza kutokana na kuamini mchakato huo uliendeshwa kwa uhuru na haki. Ayo TV imefanikiwa kumpata mchezaji wa zamani na mchambuzi wa masuala ya soka Ally Mayay Tembele ambaye alikuwa ni miongoni mwa wagombea sita wa nafasi za Urais, vipi kwa upande wake ameridhishwa na matokeo.

Leave a Comment