Share

“Ameamua mwenyewe kutuletea hizi fedha…” – Rais Magufuli

Share This:

Rais Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na tajiri Namba 1 Duniani Bill Gates ambaye kupitia Taasisi yake ya Bill and Melinda Gates ametengea zaidi ya Dola Milioni 300 kuisaidia Tanzania.

Leave a Comment