Share

Amsha amsha ya Ndondo Cup Mwanza imeanzia Stand Kuu

Share This:

Michuano ya Ndondo Cup 2017 Mwanza imeanza kuchukua Headline kwenye baadhi ya Maskani ya timu zilizochukua fomu kushiriki michuano hiyo inayotarajia kuanza rasmi September 20, Nyegezi Terminal ni miongoni mwa timu 16 tayari zilizojitokeza kuchkua fomu za ushiriki Ndondo Cup Mwanza 2017.

Leave a Comment