Share

Annan aonya juu ya hatari DRC: Papo kwa Papo 16.06.2017

Share This:

Viongozi wastaafu Afrika waonya juu ya hatari inayoikabili DRC kutokana na kushindwa kuitishwa uchaguzi. Maafisa nchini Uingereza wasema itachukuwa muda mrefu kuwatambua wahanga wa moto wa London, na polisi mjini Washington yatoa waranti wa kukamatwa kwa walinzi wa rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.

Leave a Comment