Share

App ‘Dalali GIS’ : Nyumba, Viwanja na mengine mengi yanapatikana

Share This:

Leo katika Technolojia tumekutana na mhandisi wa masuala ya Computer, Gaudioz Rwechungura ambaye ametengeneza app yake mpya ‘Madali GIS’ ambayo itakusaidia kupata vitu mbalimbali kupitia simu yako ya mkononi na kuachana na madali ‘feki’ ambao wamekuwa wakiwatapeli watu kila kukicha.

Ili kupata app hii kutembelea https://play.google.com/store/apps/de…

Pia unaweza kuwasiliana kwa namba.
+255712289948/+255752171075
Instagram inapatikana kwa @dalaligis
E-mail [email protected]
au
Kwa taarifa zaidi tembelea: www.dalali14.com

Leave a Comment