Share

ASKARI ALIYEMUOKOA MTOTO KWENYE CHOO APANDISHWA CHEO

Share This:

Askari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Kagera aliyemuokoa mtoto mdogo aliyetelekezwa na kutupwa kwenye Shimo la Choo ya shule ya msingi Murugwanza Wilayani Ngara,amepandishwa cheo.

Leave a Comment