Share

ASKARI ALIYEMUOKOA MTOTO “NILIWAKANA WAZAZI WANGU, NILISOMESHWA NA SERIKALI”

Share This:

AyoTV na millardayo.com imempata Koplo Denis Minja ambaye alifanikiwa kumuokoa mtoto mdogo katika Shimo la Choo ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Murgwanza iliyopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera,ameelezea Jinsi alivyomuokoa samabamba na maisha yake magumu aliyopitia

Leave a Comment