Share

Aubameyang: Mchezaji hatari kwa ufungaji mabao Ujerumani

Share This:

Pierre-Emerick Aubameyang, mshambuliaji wa Borussia Dortmund ambaye ni raia wa Gabon amekuwa hatari kwa kufunga mabao, ambapo alifunga mabao 31 msimu wa 2016-17.

Leave a Comment