Share

Baada ya Daraja la Ruvu kutitia, taarifa hii ikufikie mtumiaji wa Reli ya Kati

Share This:

Baada ya kipande cha reli ya kati ya Dar es salaam na Ruvu kuwa hakipitiki baada ya ya daraja la reli la Ruvu kutitia upande mmoja, Kampuni ya reli Tanzania imetamgaza kuhamisha kwa muda huduma ya usafiri wa treni kwenda bara katika kituo cha Morogoro kuanzia kesho badala ya Dar es salaam.

Leave a Comment