Share

Baada ya kubeba tuzo, Monalisa amefunguka kuhusu ‘shavu’ la Ubalozi

Share This:

Leo November 8, 2018 tunayo story kutokea kwa msanii wa filamu, Yvone Cherrie ‘Monalisa’ ambapo amepata shavu la kuwa balozi wa mpango wa uchangishaji fedha ya SADAKA ili kusaidia jamii kutokana na masuala ya ukatili wa kijinsia hasa kwa wanawake na watoto.

Leave a Comment