Share

Baada ya kutangaza kufulia, Nay wa Mitego aja na hili jipya

Share This:

Nay wa Mitego aja na zawadi kwa mashabiki wake kwa kuwaletea Tamasha lake aliloliita Nguvu ya Mtaa ambapo ataongozana na wasanii wengine wakubwa.

Leave a Comment