Share

Baada ya TCU, Wizara ya mambo ya ndani kukutana na G. E.L

Share This:

Global Education Link imekutana na wazazi na wanafunzi ambao wameshapata Vyuo nje ya nchi ambapo ilikuwa na kazi moja tu ya kujibu na kufafanua maswali yote kuhusu vyuo watakavyofikia, malazi, usalama, tarehe za kuondoka na masuala mbalimbali..

Leave a Comment