Share

Baada ya ukimya wa muda mrefu Cpwaa kaongea kuhusu Parklane

Share This:

Rapper Cpwaa kutoka 255 Tanzania ambaye pia ni member wa kundi la muziki la Parklane amesema ukimya wake na kundi hilo haumanishi kwamba limekufa, Parklane inaundwa na wasanii mastaa wawili Suma Lee na Cpwaa, ni kati ya makundi yaliyofanya vizuri kwenye bongoflava miaka kadhaa iliyopita.

Leave a Comment