Share

Baadhi ya maduka katika soko la Makumbusho yafungwa kwa madai ya kutolipa kodi.

Share This:

Maafisa biashara kutoka Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam wamefunga baadhi ya maduka katika soko la makumbusho kwa madai hawajalipa kodi na kusababisha shughuli za biashara kusimama kwa muda.

Leave a Comment