Share

Baba adaiwa kumpa sumu pacha wa miezi 8 baada ya ugonvi na mkewe

Share This:

Hekaheka ya leo April 11 2017 kupiti Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habibu ametusogezea tukio lililotokea Kipunguni, Pugu jijini Dar es Salaam ambalo linawahusu wanandoa waliogombana na kusababsha kifo cha mtoto wao.

Inadaiwa kuwa wanandoa hao waligombana kisha mwanamke kuamua kuwaacha watoto mapacha wenye umri wa miezi 8 kwa mume huyo Jumamosi na ilipofika Jumapili mtoto mmoja alifariki.

Leave a Comment