Share

Baba aliye mfano wa kuigwa katika malezi ya watoto

Share This:

Kwanini jamii nyingi Afrika zina fikra kwamba suala la malezi ya watoto ni la mama peke yake na si baba ? Hussein Said kutoka Singida ni mfano wa kuigwa. Tizama vidio ifuatayo.

Leave a Comment