Share

BABU TALE:JUVENTUS VS MAN UNITED/MPIRA KIGANJANI NA DSTV NOW KWA UDHAMINI WA VODACOM

Share This:

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale afunguka anavyo fuatalia mpira wa miguu; ataja timu anazozishabikia Tanzania na Nje ya Tanzania. Tale aeleza jinsi anavyotumia App ya the DStv Now kufuatilia mambo mabalimbali ikiwemo mpira na burudani mbali mbali,na akiahidi kuitumia kutazama Mtanange wa leo usiku UEFA Champions League kati ya JUVENTUS VS MANCHESTER UNITED.
@vodacomtanzania wamekuletea vifurushi maalumu vya kukusaidia ili kuweza kutazama mpira,Movie na burudani mbalimbali!” zinazopatikana katika King’amuzi cha DStv baada ya kupiga *149*01# ili kuweza kujiunga vifurushi hivyo!

Leave a Comment