Share

Bahari yawaokoa wajane na yatima wakisomali

Share This:

Wajane wakisomali na yatima wazumbua njia ya kuwapatia riziki na tonge kwenda kinywani kila uchao katika bahari ya Hindi licha ya nchi hiyo kuzama katika dimbwi la umasikini na mashambulio ya Al Shabab.Tazama vidio ya Dw iliyochukuliwa na Sadab Kaaya.14.05.2018

Leave a Comment